BY HAJI NASSOR Misi Mwalimu Faki is a woman farmer from Gombeume Mchangamdogo village in Pemba who, despite living with a physical disability, is actively engaged in climate adaptation through agroforestry. Her work challenges deep-rooted assumptions about disability, gender, and who can lead climate action at the community level. At 58 years old , Misi Mwalimu Faki is a woman with a physical disability, living with one arm, a mother of nine children , four sons and five daughters , and the wife of a man who has been chronically ill for many years . Her daily life has long been shaped by care, responsibility, and resilience under difficult circumstances. For years, her household faced deep vulnerability. Limited income, growing climate stress, and declining soil productivity made farming increasingly challenging. Feeding a large family was often uncertain, and each season carried new risks. Beyond economic hardship, Misi also experienced social exclusion . In her communit...
KAMATI YA KUPAMBANA NA UDHALILISHAJI CHAKECHAKE YAWAJIA JUU WAZAZI WANAOWARUHUSU WATOTO KUTEMBEZA BIASHARA
NA HAJI NASSOR, PEMBA@@@@ KAMATI ya kupambana na udhalilishaji kwa wanawake na watoto ya wilaya ya Chake chake, imepiga marufuku kwa wazazi na walezi wilayani humo, kuwapa biashara za kutembeza watoto wao, kwani ni njia moja wapo ya kufanyiwa vitendo viovu. Kauli hiyo imetolewa leo Mei 25, 2026 na Kaimu Mwenyekiti wa kamati hiyo, Kassim Ali Omar, wakati akifungua kikao kazi, cha wajumbe hao, kilichofanyika ukumbi wa zamani wa TASAF Chake chake. Alisema lazima kamati, isimamie hilo maana wapo wazazi wamekuwa wakiwatumia watoto wao, kutembeza biashara mitaani, na kisha huishia kudhalilishwa. Alieleza kuwa, hasa kuelekea kipindi hichi cha sikukuu na skuli kufungwa, wazazi hutumia fursa hiyo, jambo ambalo sio sahihi. ‘’Niitake sana kamati hii, ihakikishe inasimamia sana, maana wapo wazazi na walezi, wamekuwa wakiwatumia watoto wao, kutembeza biashara majumbani, jambo ambalo ni hatari kwao,’’alifafanua. Katika hatua nyingine, Kaimu Mwenyekiti huyo Kassim Ali Omar, ...